Ali Mukhwana – Uniongoze Lyrics

0
Ali Mukhwana Uniongoze Lyrics
Ali Mukhwana – Uniongoze Lyrics

Uniongoze Lyrics

Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu

Wewe uliye nihesabia haki
Ukanipa uzima wako kutoka juu
Mungu wa mababu zangu
Tena mungu wa eliya
Tuna imani na wewe
Tunakutazamia wewe
Ninachotaka mimi
Uniongoze

Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu

Usipo tuongoza bwana
Ni nani atatuongoza
Mungu muumba mbingu na nchi
Ni wewe Baba yangu
Nishike mkono wangu bwana
Uniongoze Jehovah
Bwana mungu wangu wangu
Uniongoze

Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu

Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana sitayaweza
Uniongoze, uniongoze
Bila wewe bwana
Mimi si kitu

Written by; Ali Mukhwana

Ali Mukhwana Uniongoze Lyrics

Ali Mukhwana Uniongoze Lyrics In English Translation

Guide me, guide me
Without you sir I would not be able to
Guide me, guide me
Without you sir
I am nothing
Guide me, guide me
Without you sir I would not be able to
Guide me, guide me
Without you sir
I am nothing

You who justify me
You gave me your life from above
God of my ancestors
Again the god of Elijah
We have faith in you
We look forward to you
What I want
Guide me

Guide me, guide me
Without you sir I would not be able to
Guide me, guide me
Without you sir
I am nothing

Unless you lead us sir
Who will lead us
God created the heavens and the earth
You are my Father
Hold my hand sir
May Jehovah guide me
Lord my God
Guide me

Guide me, guide me
Without you sir I would not be able to
Guide me, guide me
Without you sir
I am nothing

Guide me, guide me
Without you sir I would not be able to
Guide me, guide me
Without you sir
I am nothing
Guide me, guide me
Without you sir I would not be able to
Guide me, guide me
Without you sir
I am nothing

Leave A Reply